Wednesday, 21 January 2015

WANYAMA

 


Tuyatunze mazingira ili wanyama na uoto wa

asili usipotee. Mazingira si kwa binadamu tu hata miti na wanyama wanahitaji mazingira ili waishi .

Harufu nzuri itokayo kwenye maua hupendezesha mazingira.


No comments:

Post a Comment